Bwana Umenichunguza
View chords used in this chart
[Intro ]
E
D
A
E
E
[Verso 1]
E G#m C#m
Ee Bwana, umenichunguza na kunijua.
A G#m C#m
Wewe wajua kuketi kwangu na kuondoka kwangu;
A E G#m C#m
Umelifahamu wazo langu tokea mbali.
A E G#m C#m
Umepepeta kwenda kwangu na kulala kwangu,
A E C#m
Umeelewa na njia zangu zote.
A E G#m C#m
Umepepeta kwenda kwangu na kulala kwangu,
A E E

{Instrumental}
E
D
A
{E}|
E
[Verso 2]
A E C#m
Maana hamna neno ulimini mwangu Usilojua kabisa, Bwana.
E G#m C#m
Umenizingira nyuma na mbele, Ukaniwekea mkono wako.
A E G#m C#m
Maarifa hayo ni ya ajabu, yanishinda mimi,
A E G#m C#m
Hayadhirikiki, siwezi kuyafikia.

C#m
|{C#m}
C#m
|{C#m}
C#m
|{C#m}
[Ponte]
C#m C#m
Niende wapi nijiepushe na roho yako?
C#m C#m
Niende wapi niukimbie uso wako?
C#m C#m
Kama ningepanda mbinguni, Wewe uko;
C#m C#m
Ningefanya kuzimu kitanda, huko nako uko.
C#m C#m
Kama nikisema, "Hakika giza litanifunika"
C#m C#m
Giza nalo halikufichi kitu.
C#m C#m
Giza na mwanga kwako ni sawasawa.
[Refrão]
A E C#m A E C#m
Ee Mungu, unichunguze, uujue moyo wangu, Ee mungu.
A E C#m A E C#m
Unijaribu, uyajue mawazo yangu, Ee Mungu, Ee mungu.
A E C#m A E C#m
Uone kama iko njia iletayo majuto ndani yangu, Ee mungu
A E C#m A E C#m
Ukaniongoze katika njia ya haki, milele.
A E C#m A E C#m
Maana wewe ndiwe uliyeniumba, Uzima wangu, Ee mungu.
A E C#m A E C#m
Macho yako yaliniona kabla sijakamilika, Ee mungu.
A E C#m A E C#m
Uhisikie sauti yangu, Ee Mungu, Ee mungu.
A E C#m A E C#m
Ee Mungu, unichunguze, uujue moyo wangu, Ee mungu.
A E C#m A E C#m
Unijaribu, uyajue mawazo yangu, Ee Mungu, Ee mungu.
A E C#m A E C#m
Maneno ya kinywa changu na mawazo ya moyo
A E C#m A E C#m
Yapate kibali mbele zako, Ee mungu, Ee mungu.
A E C#m A E C#m
Maneno ya kinywa changu na mawazo ya moyo
A E C#m A E C#m
Yapate kibali mbele zako, Ee mungu, Ee mungu.
How to play Bwana Umenichunguza
Use the controls above to change the key and text size. Follow the highlighted chords while listening, then practice each section slowly before playing at the original tempo.
What is the starting chord?
The first identified chord is E. You can transpose without leaving the page.
Can I play it on guitar or keyboard?
Yes. The chord progression works on acoustic guitar, electric guitar and keyboard. Adapt the voicings to your instrument and level.